Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
mambo husna?
umeenda job leo?
 
hahahhh nahisi sura yoyote utakayokua nayo ameridhika nayo akutane na mbaya kama masoud sawa akutane na nzuri sawa [emoji23] yy kakupenda tu
Shunie agiza novida hapo kwa mangi naja kulipA[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom