Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ah ah ah Mim Sio Mhusika Kati ya Hao Watusasa mm wapi umeniona au hiyo avatar fake inawachanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ah ah Mim Sio Mhusika Kati ya Hao Watusasa mm wapi umeniona au hiyo avatar fake inawachanganya
njoo mama sitasemaHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
kwahiyo ww umetumwa ulete ujumbe tuAh ah ah Mim Sio Mhusika Kati ya Hao Watu
Mie sio Za ni Sa. Sakayo ni jike, Zakayo ni dumeAhsante yaani mm nilijua ww kidume aisee hizi Id hatar, sakayo==Zakayo. Ahsante binti
Nimechunguza nime confirm kua ni jike la tunda sio mbegu. SakayoMie sio Za ni Sa. Sakayo ni jike, Zakayo ni dume
Halafu sijui ni nani ana hili jimbo ila niko na Mheshimiwa GondweHajasema kama ni jimbo la nani mkumbushe Mkuu
Hahaaasakayo uje unaulizwa jimbo la nani hilo [emoji23] naona anataka kuchukua fomu
HeheheNiambilie mkuu anaweza kunifaa kwa matumizi
yaan nyie mnatamani tu watu hamuwajui mkikutana na mapopo bawa mlete mrejeshoShunie me sifichi km Husna kn mrembo nimemtaman humu
[emoji23][emoji23]Halafu sijui ni nani ana hili jimbo ila niko na Mheshimiwa Gondwe
Hebu mwambie huyo tuumatumizi yapi unamjua Babu Asprin ww
nishamwambia amesema yy atakua mjukuuHebu mwambie huyo tuu
Gondwe yupo humu humu eehHehehe
Hiyo ni hatari kwa afya, babu yangu Asprin ni mkali
anamaanisha anaekumiliki kiswahili nacho kigumu [emoji23]Hahaaa
Aje achukue tuu, mie na siasa imenikalia kushoto
Wako in love, sasa wauliza ninimm nimewakosea nn mpk wanikodolee macho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji125]kazi ipo kwahiyo nyuchi ya mtu ata usipojua inafananaje unahisi tamu tu
Wakimbize mamysasa mm wapi umeniona au hiyo avatar fake inawachanganya
in love wananijulia wapi mmWako in love, sasa wauliza nini