Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

kumchocheaje na wkt mtoa mada amempenda na sisi tumemtajia anayemsema n Daby sisi uchochezi wetu uko ap
Ni muendelezo wake mpaka wote hofu ikawatoka na mpaka sasa wako mapangoni nahisi walipo jificha hapatafaa kwa matumizi tena
 
Mpaka nitapoona umetulia ndo nitajua niko mikono salama babu!!!
Halafu kuna mjukuu wa kiume alikuwa anaomba undugu
Nimeshampiga stop. Staki kiumbe yoyote mwenye jinsia ya kiume akae karibu na Mrs. Sakayo Asprin
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika (kwahiyo umeona ujianike mwenyewe)
Huku
Nifanye ñn?

Kwahiyo umeona unike mwenyewe
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Kama unamuona anajielewa mwambie, kama hajielewi kupotezee.
 
Back
Top Bottom