Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

hahahahh fakalava hivi tu hujui nafananaje shauri yako we ushaunda mtu anaefanana na shunie ukija kumuona tofauti sijui utakimbia [emoji23] uje kunianzishia thread
Wasiwasi wako tu Shunie, mbona wewe ni mrembo tu! unadhani sikufahamu na hiyo sauti yako ya kimahaba.
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
njoo pm sitakuanika
 
Back
Top Bottom