Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Akufikirieje yani anikubali au sio?Fakalava dawa yake supermarket...
Ila wewe nimeanzaga mbali kukukuwadia watu. Nifikirie bhana hata siku moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akufikirieje yani anikubali au sio?Fakalava dawa yake supermarket...
Ila wewe nimeanzaga mbali kukukuwadia watu. Nifikirie bhana hata siku moja tu
Hiv stunter siuliagaga hapa unaenda kudanja au sio wewe mkuu?Kwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
Ili nije eeeh [emoji4][emoji4]akiondoka utaniambia [emoji23]
hhhhahahahHata sijui, ngoja nimuulize mamangu vizuri
Ukitaka pesa nitakupa lakini siyo shunie.Hii roho mbaya sasa vizuri kula na mwenzio
Daby mbaya sana huku anampigia debe manga
manga anasema wameshaachana na espy shemeji yako tenaEspy ni shemeji yangu...
Ntafanyaje sasa husna nikitoka nje ananivuta.
Hivi wewe kigoli unayetembea na vibabu upo!Hata sijui, ngoja nimuulize mamangu vizuri
Una utani wa ngumi sasa hahahaaaaaKinachonikera eti jf wazuri wote shemeji zangu... haya tu nyie [emoji24][emoji24][emoji24]
ww wa husnaIli nije eeeh [emoji4][emoji4]
Jamani sasa kwanini unashindwa kumkubalia...au unasubiria subiria avuje jasho kidogo eehNdio huoni kelele kuwa nitoe kufuli pm mpk pm kafika ananiambia anataka kunitumia mabox
Tulia mtoto anaelekea... unajua hawa watoto wa kitanga hawapendi tongozo la kishulawadu eehAkufikirieje yani anikubali au sio?
Supermarket nilimtoa mbio hajulikani yuko wapi. Halafu sijui unataka shuni akufikirie nini Mkuu?Fakalava dawa yake supermarket...
Ila wewe nimeanzaga mbali kukukuwadia watu. Nifikirie bhana hata siku moja tu
Unanitonesha ujueww wa husna
Kuna kabiashara nataka kuwekeza naye ka kuuza kufuli za wakina mama Tanga. Hajakuambia!Supermarket nilimtoa mbio hajulikani yuko wapi. Halafu sijui unataka shuni akufikirie nini Mkuu?