Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
[emoji15]Utanipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]Utanipa?
Ha ha haaaNaanzaje sasa kukunyima??
Yani juzi tu na ushanasa kwa babu?Sina bhana, mie wa juzi tuu humu
Ndo nashindwaga mimi kudanganyaUmeonaeee
HeheheMaranyingi haijibiki hadharani asa saa 3 wewe kuku ha ha haa
Hivi kumbe kuna muda eeeh!!Yani juzi tu na ushanasa kwa babu?
tumetoka mbali sanaHayaaa... Umevujisha siri mubashara, nakumbuka sana basi tu ila mimi nawe tumetoka mbali.
safi pacha mzimaMbuzi kafia kwa muuza supuuu
Habari za jumapili pacha
gari wapi banaWe hujui funguo za gari au
hahahhhNdo Manga sasa, hivi ulikuwa hujui eeeh
na haujaaga janaMie saa tatu nshajifungia
Dunia ya usiku kuna nn hukoAkija pacha mwambie tutoke leo tukaangalie dunia ya usiku.
hahahh like za kutatanishaHahahahaha nimecheka kwa sauti mpaka paroko kanishangaa...
Zile like ulizonigongea kule, nikajua tu kuna kesi inakuja...
Hiyo red hapo.... hahahahahaa!!!
I love you more...
Sakayo najua kusema hapanaWewe huyooo
Dada!nani hajafika
shikamoo kaka nakuonaDada!
Marahaba.shikamoo kaka nakuona
hahahhh nilijua tu hivi kaka si ulinitambulisha kwa diva huku tena naona umepewa mkwaraMarahaba.
Hivi kwanini unapenda kuniudhi?????