Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nshamjibu kitambo shemejiAmeuliza nna sera gani hem mwambie ule ujumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshamjibu kitambo shemejiAmeuliza nna sera gani hem mwambie ule ujumbe
Mi simuelewi kabsaaaAcha kumbania na wewe
Asante Yesuni akili za jumapili dada
We una fanya makusudi bhana!!Hahahahaaaa.....
Nisamehe mama wa watoto wangu...
hahahhhh eb niacheUnapenda umbea uende kwa warumi sasa mana si kwa maswali hayo
Et unakuaga wapi nightNdio, nyie mnakuwaga wapi
Mpaka hapo hujaelewa tuuhapo sawa ikawaje sasa
Sithubutu kukufanyia makusudi. Ntaanzia wapi kwa mfano??We una fanya makusudi bhana!!
Nipo nae huko Babu yako nimemfuma kwenye mambo ya watu wazimaWe una fanya makusudi bhana!!
nimeshaelewa [emoji23]Mpaka hapo hujaelewa tuu
Unavyobofya kitufe cha like kwa nguvu unatamani zimfikie kumi badala ya mojahahahhh hawajui tu
Kwani mie nilienda nayo????simu niliacha
Hebu tuweke wazi, wewe ni nini unatakaunajua manga tatizo lake n moja tu anatuektia yaan anatuchora tu
hahahhh kumbe inakukutaga na wwUnavyobofya kitufe cha like kwa nguvu unatamani zimfikie kumi badala ya moja
ningechunguliaje humuKwani mie nilienda nayo????
sitaweza Babu tena kwa yale mambo uliyoniambia unayapenda ndio siwezi kabisa
Serious kwani hajui umeolewa au??? We Manga, usije fanya kweli wewe, Shunie ako na watoto na mume yake!! Utani unaishia hapa kwa huu uzitatizo yupo serious ingekua kiuongo ningeshamkubali
mm sitaki kituHebu tuweke wazi, wewe ni nini unataka
Asa mbona unataka kuniharibia kwa waridi la moyo wangu??sitaweza Babu tena kwa yale mambo uliyoniambia unayapenda ndio siwezi kabisa