Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Haki ya mimi lazima nami nikujue, sikubali!Ukonfotabo ningeukosa mimi... najuana na watu sio chini ya 20 humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya mimi lazima nami nikujue, sikubali!Ukonfotabo ningeukosa mimi... najuana na watu sio chini ya 20 humu
Khaaaaa....!!!We hufiki hata robo
Aende wapi sasahahhahah sio atakimbia
nimejikuta nacheka tuNa manga au swali hujalielewa unaogopa kuuliza?
Hahaaana mm sikutaki ata bure
We shangaa tuuKhaaaa...!!
Kauna ngumu kujibu ha ha haa huyu awe mchepuko wako huyu ila husna asijue tuHujanijibu ujue... tongozo la Manga kwako limeishia wapi
Kuna muda unakuwaga muoga mpaka napata wasi wasihivi dada swali gani hilo kwahyo hata ww huniamin
hahahhah huyo lazima umjibuHahaaa
Naona umejibu mqshambulizi
kwahyo namuogopa Daby si nimemjibuKauna ngumu kujibu ha ha haa huyu awe mchepuko wako huyu ila husna asijue tu
Hebu ntonye shost, sababu ya wewe ku move onWalaaa!! Mie ninaofahamiana nao wooote niliwapa taarifa nilipobadili, na sababu yangu ya kubadili ni tofauti kabisaaaaa.
Nashangaa kwa furaha... Mungu anipe nini zaidi??We shangaa tuu
Bado kidogo aje kututimua hapahahahhah anatuchora tulivyoumiliki uzi wake
Fursa hiyoHaki ya mimi lazima nami nikujue, sikubali!
Nini sasaKhaaaaa....!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hebu ntonye shost, sababu ya wewe ku move on
Ndo ukome kuchangia mabwana...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti kumove on!!
Labda inbobo sio hapa.
Mke mwenzio huyo, nimemuita mfahamiane.Vipi tena, ni mtego auuuu
Halafu sielewi, tangu Espy aingie humu ndani majibu yako ni Khaaa, ni nini tatizo babu loveNashangaa kwa furaha... Mungu anipe nini zaidi??
Jamani, niambe tu huko huko best!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti kumove on!!
Labda inbobo sio hapa.