Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akauntiPensheni kabakiza. ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akauntiPensheni kabakiza. ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akaunti
najua maumivu uliyoyapata nami nimepata hayo hayoWe mbona umemkosea heshima mume wangu eti yupo kwenye list gani sijui!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Babu kwa hiyo kwake milango ipo wazi niende! !!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.
Nimekusamehe lakini.
Maskini Sakayo wangu,
Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa
Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
mtumie hata radi tu huyo na mvua hii hakuna atakayeshangaaTafadhali sheikh... japo kaniacha mi bado nampenda. Niko nafanya juhudi za kumrudisha nyumbani.
Tafadhali heshimu mali za wakubwa zako...
Shemeji kweli gundu lako umeamua kunisingizia!!!Shemeji yangu umeshiriki kuniharibia cv humu ndani.. ukiniona na katoto basi utakapa taarifa ilimradi ni za uongo siku hiyo hiyo kananiacha. Kama unanipenda si uninon'goneze pm tu shemeji
Hivi ile vip ndio hii [emoji23]Alikuja mwenyewe nikamtoa nduki nikamwambia mfuate mwenzio
Salaaaalehh!!Hello my ex espy
Yaani majanga yenu mnanisingizia mimi[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kanatuharibia wengi hako... mi nadhanani kanataka tukafanyie sriisamu...
HahahhhhHivi si ulikuwaga unanitongoza? Uliishia wapi? Au ulighairi?
kama husna kaachwa tusubili kufukuzwa kwenye uzi wake