Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

nimeona sana... huyu dada yangu tunampeleka tanga kwenye kitchen party akafundwe upya...
ujue mara ya kwanza nilivyomtes baada ya kufundwa mbna alikuwa fresh tu binamu yangu.. sema najua kuna kitu hawajamjulia basi... hapa nawachora tu nikiona wanazidi kumzeesha binamu yangu namuweka ndani mwenyewe,,,, mtoto ni mali sana yule sijui kwa nn kina deby wanamchezea
hahahhh
 
My lovely kaka unamuongelea nani?
 
mzigo wako huo
ngoja nimuangalie na hili janga lake jipya.. nimemuambia yule jamaa mpya yupo kwenye list ya kigwa naona wakanitolea sana mapovu nikanyamaza... ila najua wakishapiga gemu moja tu akishaambiwa bebi nishike huku atakimbia hatarudi tena..

hapo kimbilio lake ni mimi binamu yake,,,.. mimi ndio namjulia mtoto yule binamu nyama ya ham
 
Back
Top Bottom