Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
he heWambie kuna kidume kimeshikika na penzi la mtoto wa kitanga huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he heWambie kuna kidume kimeshikika na penzi la mtoto wa kitanga huku
[emoji4][emoji4] tehteh ebu niwache nibebike puliziiiina mahaba haya huyu sio Daby ninaemjua kawa mdogo
tumekuelewa sana husna endelea na kazi yakoMnauliza afu mnajijibu sa ye atajibu nn?[emoji4] [emoji4]
bebika vyema[emoji4][emoji4] tehteh ebu niwache nibebike puliziiii
Ila sio siriNitachezaje mbali na bae wangu... majizi mengi huku
Kwasababu siwezi kumuacha daby manga usinambie maana haitasaidia kitumwamini Daby wako manga eb mwambie husna kuhusu Daby alivyokua anatuambia
Unajua pa kunishika ndiyo maana mamyIla sio siri
Unajua kupendaa yan hadi najiona km malkiaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sio siri
Unajua kupendaa yan hadi najiona km malkiaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Khaaah
Siri yetu. Ila kwa hili haba zito la tan 100 unategemea nini
sijabisha mmKwasababu siwezi kumuacha daby manga usinambie maana haitasaidia kitu
WarererereeeeUnajua pa kunishika ndiyo maana mamy
Mfate tuu pmHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Tunatumianaga leo nimezungushiwa mikono milaini simu siishiki kwa kwelihahahhah kumbe mnatumianaga msg [emoji23][emoji23] kama anapita huku ataona
Hahahaha kaoneWarererereeee
AshanipataMfate tuu pm
Uongo tena ha ha haa sema suu nisemesikubali chochote we sema tu na uongo wako
hahahhahah aisee hili ni tetemeko la DabyTunatumianaga leo nimezungushiwa mikono milaini simu siishiki kwa kweli
teh tehHahahaha kaone