Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #6,221
Unamaanisha nn labda?!hahhahah Daby hii sio akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nn labda?!hahhahah Daby hii sio akili yako
We nakukubaliIsipokuwa mie
[emoji1]Mahaba ya husna sio ya nchi hii
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ya ni machozi ya furaha tuMbona unalia kipenzi au furaha iliyopitiliza juu ya hili penzi letu zito.
Mimi ni wako ati.
Poa poaWe nakukubali
[emoji106] jibu zuri[emoji8]Kwa kweli acha husna anishikie kwa hiki kipindi kilichobaki katika maisha yangu.
PoaNdomana hanitaki uwe makini nae
manga sakayo kanipigia simu ndio kanirudisha kuwa inatoa povu [emoji23] mbona leo unapovukwa hivi nn shida mm nikitaka kumchungulia Daby niamua hawezi kataaLeo lazma aote ndoto mbaya sio kwa madukuduky hayo aliyokuwa nayo
Kaaga mapema h ha hayoko sawa leo kazidiwa kete ha ha haaaa
Ulale unonoDaby umejua kuua mbavu zangu acha niwaage usiku mwema
weka picha tafadhali [emoji121]Yule hana kambilimbi ana dushe,afu uichungulie ili iweje???!!!
Au unataka nilianzishe hapa afu...afu...[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
acha avurugwee tuYote makabila yangu
Makonde miksa digo
Nilizani ushalalahHahahhh kivuruge kwenye ubora wako
nililala ila sakayo kanipigia kaniambia manga anapovukwaNilizani ushalala
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ha ha ha atakimbia huyo vyengne havichunguliw
[emoji4] [emoji4] [emoji106]Tehteh walijua sikujui eti...
Nakujua nje mpaka ndani
Basi jamani atanunaaKaaga mapema h ha hayoko sawa leo kazidiwa kete ha ha haaaa
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] weka ya wako kwanzaweka picha tafadhali [emoji121]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]nililala ila sakayo kanipigia kaniambia manga anapovukwa
Usemayo sina shaka nayo ni ukweli mtupu tatio kakuwahi nduguyodukuduku gani Bonny ndoto gani nitaota niliaga mm
manga sakayo kanipigia simu ndio kanirudisha kuwa inatoa povu [emoji23] mbona leo unapovukwa hivi nn shida mm nikitaka kumchungulia Daby niamua hawezi kataa
hahahhah ww si umetusifia sio mbilimbi sisi wala hatujaongea[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] weka ya wako kwanza