nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Kikwete kwenda kwa Mwamposa jambo la kawaida sana tena alienda na kanzu comfotablyPowerful kwenye nini?? Acha porojo wewe! Hata mwamposa nadhani kamzidi. ALIMSUMMON YEYE NA BIBI TOZO.
Huyo katushika kwelikweliHakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Powerful wa nini?Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Hapana hayuko powerful vyombo vya dola ndiyo vinatumika vibaya.Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Kwaiyo kuudhulia misiba ndo kunamfanya awe na power?Usichijua ni kwamba Kikwete anahudhuria hata sherehe, misiba na mialiko ya watu wa hali za chini.
JK ndiye mtawala wa nchi kwa sasa hivi huyo mwingine ni bosheni tuHakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Yeye ni nani?Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Hilo umelijua leo kijana? Hiyo ni tabia yake tangu akiwa waziri , akiwa Rais (japo protocal zilibadilika) na ata sasa. Hili halina uhusiano wowote na mada yako.Usichijua ni kwamba Kikwete anahudhuria hata sherehe, misiba na mialiko ya watu wa hali za chini.
Hapana maana Kikwete anaendesha nchi kwa Remote controlHakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.
Nguvu za madarakaUnazungumzia Nguvu za Madaraka, Ushawishi, Mwili au za Kiroho? 🐼