Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Acheni dharau waungwana,kumbukeni bila walimu msingekua hapo mlipo.......kijana ucjali we nenda tu kale chaki bt uwe unakumbuka kunywa maziwa......
 
kumbuka ualimu nayo kazi kama kazi nyingine,kijana komaa tu na chaki utatoka but kumbuka maziwa.....
 
😕 na ww pia unategemewa kuwa mwanachuo.... comment zako zinaonesha jinsi ganii ulivyO.... poYoyo shame on u
 
We dogo kamugisha nani kakwambia mimi mwalimu.

acha kujichanganya kamugisha ni binamu yangu yupo mwanza now anafanya yake! Molembe unafikiri ckujui! By the way yaishee bro!! Ila heshima kitu cha buree brother, me kuanzia leo nitakuheshimuu!! Overrr
 
Haya wakuu,asanten kwa michango yenu,maana kupitia michango yenu nimejifunza kitu,pamoja sanaaaaaaaaaaaaaaa,,,,
 
acha kujichanganya kamugisha ni binamu yangu yupo mwanza now anafanya yake! Molembe unafikiri ckujui! By the way yaishee bro!! Ila heshima kitu cha buree brother, me kuanzia leo nitakuheshimuu!! Overrr
hilo ndo linalotakiwa big up kijana
 
acha kujichanganya kamugisha ni binamu yangu yupo mwanza now anafanya yake! Molembe unafikiri ckujui! By the way yaishee bro!! Ila heshima kitu cha buree brother, me kuanzia leo nitakuheshimuu!! Overrr

Safii.
 
Jkt,aina uhusiano na kufaulu,sababu kuna shule wamechukua wanafunz wote,sasa utasema hawa wote wamefaulu,,,kuna wengine wana four za ajabu,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…