Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we teacher tuu utakula chakii hadi ufee! NB;jiheshimu ili uheshimiwee! Overrrr
We dogo kamugisha nani kakwambia mimi mwalimu.
hilo ndo linalotakiwa big up kijanaacha kujichanganya kamugisha ni binamu yangu yupo mwanza now anafanya yake! Molembe unafikiri ckujui! By the way yaishee bro!! Ila heshima kitu cha buree brother, me kuanzia leo nitakuheshimuu!! Overrr
acha kujichanganya kamugisha ni binamu yangu yupo mwanza now anafanya yake! Molembe unafikiri ckujui! By the way yaishee bro!! Ila heshima kitu cha buree brother, me kuanzia leo nitakuheshimuu!! Overrr
Safii.
by the way ndo unaingia mwaka wa pili au wa tatu? Ucdanganye nakujuaa fikaaa
madogo wa siku hiziii vilaza kweliii... wao kama wanajua wamefauliii kihereheru... cha kutujaziaa jukwaa kimetokea wapiii....
Halafu wakiambiwa ukweli wanakuwa wakaliii.
kilaza ni ww unayeona jukwaa limejaa.
tunakua wakali kwasababu tunaona nyie mnao jiita wakubwa hamjielewi kabsa..bora nyie ndo mngekua wadogo
we teacher tuu utakula chakii hadi ufee! NB;jiheshimu ili uheshimiwee! Overrrr