Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Vijana kuweni na subira taratibu za TCU ziko wazi kabisa kwamba baada ya kufanya selection awamu ya kwanza na ya pili basibmajina ya wote waliochaguliwa yalirejeshwa katika vyuo husika ili yakaguliwe kabla ya kuwekwa rasmi mtandaoni, hata hivyo baadhi ya vyuo husika vimeamua kujiridhisha na tayari yamewekwa katika website zao mfano: Jordan, Arch'Mihayo, Arusha univerty, Tumaini Makumira, etc. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni za kiutendaji tarehe 25August2013, majina yalirudishwa tena TCU ambapo hapo sasa kikao cha pamoja kikaitishwa ili kuyajadili, na wskati hilo linaendelea ndipo nafasi nyingine ikatolewa kwa awamu ya tatu wanafunzi wale waliokosa kujisajili nao wanajaza sasa ikihusishwa wanachuo waliomaliza diploma NT6 Level, na matokeo yao kutoka rasmi mwezi July. Hivo basi tunayatarajia majina kutangazwa rasmi wiki hii au mwishoni mwa mwezi huu, kuhusu website ya TCU kutokufunguka ni kwamba database inapokuwa inawekwa faili zenye Gygabyte kubwa basi access yake inakuwa limited hivo kitumbua kiko jikoni jiandaeni na vikombe vya maziwa kujua chuo gani umepangwa, mie nisistize tu kuwa hakuna chuo cha kata Tanzsnia hao wanaosema hivo hawajui degree inatafutwaje!!!

Nakuaminia mwana ARU mwenzangu..yaani hao TCU wakininyima geomatics hapo ARU basi nahic naweza kusubiria mwakani..
 
Kwanini waachie vyuo vingine vitangaze watu wao ikiwa tcu kama tume yenye dhamana inashindwa kufanya ivyo? Mi nadhani ata ivi vyuo vilivyo kamilisha tcu ndio ingechukua jukumu la kutangaza kama awamu ya kwanza na awamu nyingine ingefuata kwa vyuo vingine.
 
Yaa jina lake halikuwepo kwa wale waliokosa tangu 2nd na 3rd round.
 
Ahsanteni wote mlioshauri lets wait final say lv u all.
Mr kalipen stay blessed, jonesk ur good, luno g the faithman na wote.
 
Ahsanteni wote mlioshauri lets wait final say lv u all.
Mr kalipen stay blessed, jonesk ur good, luno g the faithman na wote.

JAMANI HUYU NAE NIMSHAURIJE,form six ana H-S,G-E,E-S alikuwa HGE,so ana one pricple,akaenda dip ya edu akapata GPA 3.1,Aliomba UDS,DUCE,UDOM,MUCE na TUMA,BED sasa vyuo vyote vimesha toa isipokuwa Udom ajaona jina,na hakuwepo kwa walio kosa round zote,kweli kuna matumaini apo au nimshauri afanyeje right now, plz naomba mawazo ya kujenga,
 
Da? M2 wangu kwa kweli cjajua vigezo vya diploma kujiunga na chuo ila da? Ajarib kuaply tena
 
Unapomwambia mtu mwenye sifa za kusoma degree akaaply diploma ni ukatili....angalieni ushauri wenu
 
JAMANI HUYU NAE NIMSHAURIJE,form six ana H-S,G-E,E-S alikuwa HGE,so ana one pricple,akaenda dip ya edu akapata GPA 3.1,Aliomba UDS,DUCE,UDOM,MUCE na TUMA,BED sasa vyuo vyote vimesha toa isipokuwa Udom ajaona jina,na hakuwepo kwa walio kosa round zote,kweli kuna matumaini apo au nimshauri afanyeje right now, plz naomba mawazo ya kujenga,

Ugumu unakuja pale anapoapply chuo ambacho hakimuakodeti kwa maana ya kutokuwa na sifa mtu ana 2.5 au 3.0 afu alikuwa h kunani kwenyeguidebook wameandika watu ambao wanasifa za kusoma hapo kwanini aliomba udsm
 
Jaman wadau wa tcu naomba kueleweshwa hapa! kuna ndg yangu kapata pass km ifuatavyo. His=E, Kisw=E, Language=E na gs=s. Aliaply 1st time akawa relected by tcu, na jina lake halikuwemo kwa yale yaliyokosewa yan 2nd na 3rd round, Mpaka sasa vyuo 4 vimeshamtema kimebaki 1 yan st john,
aliaply st john, amucta,makumira, teku na jordan.
Airtel yatosha alichelewa kuangalia ila alipojarib aliambiwa admission successfully wait final aploval!!
Swali langu huyu ndg kapata chuo? au akikosa st john ndo mishe imefeli au kuna altenative nyingne tcu wanafanya? Au vp? Je kuna watu majina yatarudi kwa kukosa chuo? Tafadhar wadau km kweli ni tcu mtujuze mana maswali ni mengi na presha za watu zinapanda na kushuka mda uendavyo. Tafadhar msaada wakuu.
 
Huyo kapata st john kwa sababu waliomba pale upande wa education hawakufika 600 wakati walikuwa wanahitaji watu 500 waliomba kama first applicants walikuwa 20 hivyo mwambie atulie asubiri kwenda dodoma.
 
Jaman wadau wa tcu naomba kueleweshwa hapa! kuna ndg yangu kapata pass km ifuatavyo. His=E, Kisw=E, Language=E na gs=s. Aliaply 1st time akawa relected by tcu, na jina lake halikuwemo kwa yale yaliyokosewa yan 2nd na 3rd round, Mpaka sasa vyuo 4 vimeshamtema kimebaki 1 yan st john,
aliaply st john, amucta,makumira, teku na jordan.
Airtel yatosha alichelewa kuangalia ila alipojarib aliambiwa admission successfully wait final aploval!!
Swali langu huyu ndg kapata chuo? au akikosa st john ndo mishe imefeli au kuna altenative nyingne tcu wanafanya? Au vp? Je kuna watu majina yatarudi kwa kukosa chuo? Tafadhar wadau km kweli ni tcu mtujuze mana maswali ni mengi na presha za watu zinapanda na kushuka mda uendavyo. Tafadhar msaada wakuu.

Alama za kumuwezesha kwenda chuo anazo kama vp asubili hyo st.john kama atachaguliwa ila pia kama nilisikia hvi kuna watu kama 800 watakosa chuo,
Ila pia tcu wanaweza kumtupia chuo ambacho hakuchagua
 
Da? Fresh wadau. Kuhusu udom kwa kweli cjajua ila udism, muce na ardhi tayar
 
Alama za kumuwezesha kwenda chuo anazo kama vp asubili hyo st.john kama atachaguliwa ila pia kama nilisikia hvi kuna watu kama 800 watakosa chuo,
Ila pia tcu wanaweza kumtupia chuo ambacho hakuchagua

okey fresh ila st john ilikuwa 1st choise.
 
Back
Top Bottom