flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Vijana kuweni na subira taratibu za TCU ziko wazi kabisa kwamba baada ya kufanya selection awamu ya kwanza na ya pili basibmajina ya wote waliochaguliwa yalirejeshwa katika vyuo husika ili yakaguliwe kabla ya kuwekwa rasmi mtandaoni, hata hivyo baadhi ya vyuo husika vimeamua kujiridhisha na tayari yamewekwa katika website zao mfano: Jordan, Arch'Mihayo, Arusha univerty, Tumaini Makumira, etc. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni za kiutendaji tarehe 25August2013, majina yalirudishwa tena TCU ambapo hapo sasa kikao cha pamoja kikaitishwa ili kuyajadili, na wskati hilo linaendelea ndipo nafasi nyingine ikatolewa kwa awamu ya tatu wanafunzi wale waliokosa kujisajili nao wanajaza sasa ikihusishwa wanachuo waliomaliza diploma NT6 Level, na matokeo yao kutoka rasmi mwezi July. Hivo basi tunayatarajia majina kutangazwa rasmi wiki hii au mwishoni mwa mwezi huu, kuhusu website ya TCU kutokufunguka ni kwamba database inapokuwa inawekwa faili zenye Gygabyte kubwa basi access yake inakuwa limited hivo kitumbua kiko jikoni jiandaeni na vikombe vya maziwa kujua chuo gani umepangwa, mie nisistize tu kuwa hakuna chuo cha kata Tanzsnia hao wanaosema hivo hawajui degree inatafutwaje!!!
Nakuaminia mwana ARU mwenzangu..yaani hao TCU wakininyima geomatics hapo ARU basi nahic naweza kusubiria mwakani..