Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

Mi sijapata pia
Binafsi nilipo apply niliipata Card yangu kabla hata ya wiki 3, sijui mnakosea wapi, labda address.
ila unaweza kutuma maombi tena, au ukawasiliana nao Na watakwambia Card yako ilitumwa lini.
 

mkuu nina shida na wewe kuhusiana na ishu za payoneer, kama hutojali dm me your namba tafadhali
 
dm me your namba tafadhali, nina shida ya payoneer
 
NAOMBA MSAADA COZ WANAKATAA KUTUMIA P.O.BOX WANAKA RESIDENT ADDRESS NAOMBA MZAADA JINSI YA KUJAZA IYO RESIDENT ADDRESS HAPA BONGO NIWEZE KUPATA KADI? MSAADA ALIYEPATA ALIJAZAJE?
Jaza neno hili SLP badala ya po box.
 
sasa wew unayeulizia DM/PM wenzako watafaidikaje na iyo elimu uliza swali open na wenzako wajifunze
 

Mkuu unaposema Paypal haitambuliki TZ una maanisha nini hasa....nauliza hili kwani mie nina account paypal na inafanya kazi vizuri tu
 
Mkuu unaposema Paypal haitambuliki TZ una maanisha nini hasa....nauliza hili kwani mie nina account paypal na inafanya kazi vizuri tu
Miaka ya nyuma ilikua haifanyi kazi TZ.
Imeanza karibuni...
 
Nilikua najisajili kwenye Payoneer ni kweli wanataka namba ya bank nikajaza ya CRDB nipo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…