Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
dm me your namba tafadhali, nina shida ya payoneerNjia ambazo Clients huchagua kulipa Mara nyingi PayPal ama Payoneer, coz zinawapa usalama wa Pesa zao Na Ni rahisi pesa zao kurudi Kama Kuna udanganyifu sehemu.
Kama kweli unafanya biashara online Na Client akakubari kukulipa kwa World remit hongera kwako!
Kuhusu mzunguko Ni kawaida hasa inapohusisha maswala ya kipesa tena online!
Jaza neno hili SLP badala ya po box.NAOMBA MSAADA COZ WANAKATAA KUTUMIA P.O.BOX WANAKA RESIDENT ADDRESS NAOMBA MZAADA JINSI YA KUJAZA IYO RESIDENT ADDRESS HAPA BONGO NIWEZE KUPATA KADI? MSAADA ALIYEPATA ALIJAZAJE?
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
Mkuu naomba unitumie link nijaribu kujiungaHakuna gharama Mkuu! Wanakutumia free of charge.
Ngoja nikutumie link Ili uweze Ku apply, hapa hapa.
Mkuu naomba unitumie link nijaribu kujiunga
www.jamiiforums.com/threads/payoneer-ni-mbadala-halisi-wa-paypal.1197823/dm me your namba tafadhali, nina shida ya payoneer