Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .

Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.

Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.

Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu

Amekuwa akisaidia watu for years.

Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
 
Kama nia ni kusaida bure, ungeweka hapa hiyo dawa na maelekezo juu ya matumizi yake...mwenye tatizo ataipata hapahapa
 
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .

Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.

Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.

Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu

Amekuwa akisaidia watu for years.

Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
Tuonyeshe hiyo Tiba

Au waje PM 🤔
 
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .

Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.

Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.

Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu

Amekuwa akisaidia watu for years.

Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tutumie vzr.
Sidhani kama kila mtu anahitaji kushika mimba.
Vipi umeongea na wanawake wanasemaje?
 
Back
Top Bottom