Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

Niliona Majuzi furaha na nderemo kwenye uzinduzi wa kituo cha IVF Muhimbili, unaweza kuta wamehamia huko.
Bibi yako ungempeleka Wizara ya afya asajiriwe kwenye wale watoa tiba asili. Kisha mumsaidie kuweka hizo tiba kwenye maandishi au video/audio. Na naamini kama anaweza kusaidia, atakuwa anaweza hata kijitangaza na awasaidie watakaoweza kumfikia.
 
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .

Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.

Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.

Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu

Amekuwa akisaidia watu for years.

Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
Ubarikiwe sana sana
 
Wakuu - hii issue ni serious Sana ingekuwa vzr mwenye huitaji wa kweli ndo aje PM

Bibi Ana 72 years itakuwa sio busara kila MTU kumpigia simu yeye mwenyewe

Mimi ntakachofanya ni kumuunganisha bibi na hao WATU wengine .wachache

Kwa ambaye yupo Bukoba ntampa location aende nyumbani kabisa
 
Sawa
Niliona Majuzi furaha na nderemo kwenye uzinduzi wa kituo cha IVF Muhimbili, unaweza kuta wamehamia huko.
Bibi yako ungempeleka Wizara ya afya asajiriwe kwenye wale watoa tiba asili. Kisha mumsaidie kuweka hizo tiba kwenye maandishi au video/audio. Na naamini kama anaweza kusaidia, atakuwa anaweza hata kijitangaza na awasaidie watakaoweza kumfikia.
 
Kama kuna MTU Ana hili tatizo na yupo Bukoba

Ntampa location aende Bukoba then akifika Bukoba atapewa dawa zote

Akifanikiwa naomba aje hapa atoe mrejesho na awe anawasaidia wengine.

Nina imani tutakuwa tumefanya kitu.
 
Hii nchi uhuru umezidi.

*Kila mtu ni daktari anajua tiba
*Kila mtu ni mwanasheria anajua sheria
*Kila mtu ni mwanasiasa anajua siasa
*Kila mtu ni mwanauchumi anajua uchumi

Kwa ufupi uhuru umepitiliza
 
Ebu na wewe mwaga mchele hapa kuku tudonoe mbona mnatufanyia mchezo wa doli doli ile michezo ya zamani.
Mwani na StarAnise ni kiboko ya viboko vyooote. Then anaongezea na detox ya green juice... Bidhaa za juice zipo sokoni huko aliko... Anatengeneza hiyi detox juice Asubuhi na jioni... Ghafla tuu mwanamke anajaa kitambi cha miezi 9.
 
Hii nchi uhuru umezidi.

*Kila mtu ni daktari anajua tiba
*Kila mtu ni mwanasheria anajua sheria
*Kila mtu ni mwanasiasa anajua siasa
*Kila mtu ni mwanauchumi anajua uchumi

Kwa ufupi uhuru umepitiliza
Chambua kinachokufaa... Unachoona hakikufai achana nacho kitamfaa mtu mwingine mwenye uhitaji...
 
Mwani na StarAnise ni kiboko ya viboko vyooote. Then anaongezea na detox ya green juice... Bidhaa za juice zipo sokoni huko aliko... Anatengeneza hiyi detox juice Asubuhi na jioni... Ghafla tuu mwanamke anajaa kitambi cha miezi 9.
Hapa nilipo hivyo vyote ulivyotaja naviona yaani sasa hivi sasa hiyo star unaisaga au unaikatakata?na huu mwani unaufanyaje maana kuna mshikaji wangu ameuanika anasubiri ukauke haya unaufanyaje kwenye hiyo juice?
 
Back
Top Bottom