Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Kama nia ni kusaida bure, ungeweka hapa hiyo dawa na maelekezo juu ya matumizi yake...mwenye tatizo ataipata hapahapaHello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu
Amekuwa akisaidia watu for years.
Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
Tuonyeshe hiyo TibaHello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu
Amekuwa akisaidia watu for years.
Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
HahaMbona wanacoment wanaume
Ebu na wewe mwaga mchele hapa kuku tudonoe mbona mnatufanyia mchezo wa doli doli ile michezo ya zamani.Mwani na Staranise kiboko ya tatizo hilo... π π
Sidhani kama kila mtu anahitaji kushika mimba.Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu
Amekuwa akisaidia watu for years.
Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tutumie vzr.
Hivi hujui kwamba mwanaume ndo muhusika wa mimba kuna mwanamke anajipa mimba hujui kwamba mwanaume anaweza kupata mtoto bila mwanamke je kuna mwanamke anaweza kupata mtoto bila mwanaume au unainjoi ujinga?Wanaume wanaocomment nao hawapati mimba?
Ila bahati πππnNimekumbuka hekaya za bahati bukuku na zinduna nikasikitika sana