Ubarikiwe sana sanaHello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu
Amekuwa akisaidia watu for years.
Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo tumtumie vzr.
Inawezekana anamfahamu mtu ambaye hana access na jf, watu wenye hayo matatizo si wanaishi kwenye jamii hizi hizi tulizopo?Mbona wanacoment wanaume
Niliona Majuzi furaha na nderemo kwenye uzinduzi wa kituo cha IVF Muhimbili, unaweza kuta wamehamia huko.
Bibi yako ungempeleka Wizara ya afya asajiriwe kwenye wale watoa tiba asili. Kisha mumsaidie kuweka hizo tiba kwenye maandishi au video/audio. Na naamini kama anaweza kusaidia, atakuwa anaweza hata kijitangaza na awasaidie watakaoweza kumfikia.
Aweke hapa taarifa kamili kama anatoa Bure,. Watu wanahisi kupigwaaaKama nia ni kusaida bure, ungeweka hapa hiyo dawa na maelekezo juu ya matumizi yake...mwenye tatizo ataipata hapahapa
Mwani na StarAnise ni kiboko ya viboko vyooote. Then anaongezea na detox ya green juice... Bidhaa za juice zipo sokoni huko aliko... Anatengeneza hiyi detox juice Asubuhi na jioni... Ghafla tuu mwanamke anajaa kitambi cha miezi 9.Ebu na wewe mwaga mchele hapa kuku tudonoe mbona mnatufanyia mchezo wa doli doli ile michezo ya zamani.
Chambua kinachokufaa... Unachoona hakikufai achana nacho kitamfaa mtu mwingine mwenye uhitaji...Hii nchi uhuru umezidi.
*Kila mtu ni daktari anajua tiba
*Kila mtu ni mwanasheria anajua sheria
*Kila mtu ni mwanasiasa anajua siasa
*Kila mtu ni mwanauchumi anajua uchumi
Kwa ufupi uhuru umepitiliza
Hapa nilipo hivyo vyote ulivyotaja naviona yaani sasa hivi sasa hiyo star unaisaga au unaikatakata?na huu mwani unaufanyaje maana kuna mshikaji wangu ameuanika anasubiri ukauke haya unaufanyaje kwenye hiyo juice?Mwani na StarAnise ni kiboko ya viboko vyooote. Then anaongezea na detox ya green juice... Bidhaa za juice zipo sokoni huko aliko... Anatengeneza hiyi detox juice Asubuhi na jioni... Ghafla tuu mwanamke anajaa kitambi cha miezi 9.