Kuna muda itakubidi upitie shortcut ili mambo yako yaende

wilsonwizzo3

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
625
Reaction score
2,704
Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life

Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani.

Ilifikia hatua nimepata huo mchongo lakini nilihitajika kupeleka license ya udereva,ndani ya week moja niwe nimewapelekea leseni.

Kila nikiwaza sana kichwa kilikuwa kinauma,leseni sina wala cheti cha veta sina halafu natakiwa nipeleke leseni ndani ya week moja.

Veta penyewe mafunzo si chini ya siku 30 mpaka nikabidhiwe na leseni nitakuwa late sana.

Nikaanza kuwacheki wadau tunafanyeje?

Mwisho wa siku niliunganishwa na jamaa anaitwa lukaku ambaye mpaka sasa ni jamaa yangu sana maana huwa tunasaidiana kwenye hizi kero ndogondogo.

Jamaa aliniambia nimpe 320,000,tin,majina matatu na namba yangu ya nida then ataniletea cheti cha veta mpaka leseni ambazo ni original kabisa ndani ya siku 8,nikaona sio mbaya sana.

Japo mwanzo nilisita nikiogopa ntapoteza pesa lakini nikasemaa liwalo naliwe.

Nachoshukiru jamaa alikuwa mwaminifu na issue ikawa solved.

Kuna kipindi tena nilianza biashara ya kuuzq ubuyu kutoka vijijini kupeleka kiwandani.

Hii nayo ilinibidi kupita shortcut maana tuliokuwa tunafanya hii issue tulikuwa wengi mno halafu kuna wakati bei inakuwa sio kafiki wakati mwingine bidhaa inakuwa nyizidi mahitaji

Ilibidi nimtafute afisa manunuzi tuongee

Tukakubaliana ubuyu atakuwa ananunua kwangu kwa bei fulani na mimi nitakuwa nampa 7% kwa kila gunia,
Kilichofanyika wale wauzaji wengine walikuwa wananiuziq mimi kwa bei ya kawaida halafu mimi ndio napeleka kuuza kiwandani huku yule afisa akila 7% zake

Hizo ni baadhi ya shortcuts chache ambazo nimewahi kupitia. Lengo la kushare nanyinyi ni kuonesha jinsi gani shortcut inalipa kwenye hizi nchi zetu hasa Tz hasahasq kwa sisi vijana tusiokuwa na connection na wakati huohuo unataka mambo yakuendee.

Sio lazima wakati wote upite njia iliyonyooka wakati mwingine unapita mkato ili mambo yakuendee, kuna kipindi cha nyuma nilikuwa nimenyooka sana ikafika hatua baadhi ya mambo yangu yalikuwa hayaendi kabisa, nikaona nibadili mtazamo ili kwendana na uhalisia wasasa.

Asanteni
 
Leseni kwa deal ni 320,000/= mbona huyo jamaa yako amekupiga sana.. hiyo hela ilikuwa na madalali wengi..
 
Nadhani shortcuts ndio maisha ya watanzania waliowengi hasa wanaoishi mijini, Kuna wengine wanalazimisha shortcut hata pasipowezekana.

Mfano Kuna jamaa hapa kaja ofisini eti anataka nimuwezeshe kupata mkopo wa 1m akalipie ada ya mwanae huko shuleni, halafu anataka mkopo leo hii hii Tena bila kufuata utaratibu yaani hata kujaza form tu ya mkopo hataki, nikimfanikishia kanihaidi atanipa 80k..

Wabongo mnapenda sana kurahisisha mambo.
 
Ni mzima wa akili?
 
Mbona watu wanakimbilia Kwa mganga Kwan mganga ndo shortcut ya maisha ya watu???? Khaaa kama unapenda maisha ya shortcut bas uwe na hela za kutoa haraka haraka
 
Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life

Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani.

Ilifikia hatua nimepata huo mchongo lakini nilihitajika kupeleka license ya udereva,ndani ya week moja niwe nimewapelekea leseni.

Kila nikiwaza sana kichwa kilikuwa kinauma,leseni sina wala cheti cha veta sina halafu natakiwa nipeleke leseni ndani ya week moja.

Veta penyewe mafunzo si chini ya siku 30 mpaka nikabidhiwe na leseni nitakuwa late sana.

Nikaanza kuwacheki wadau tunafanyeje?

Mwisho wa siku niliunganishwa na jamaa anaitwa lukaku ambaye mpaka sasa ni jamaa yangu sana maana huwa tunasaidiana kwenye hizi kero ndogondogo.

Jamaa aliniambia nimpe 320,000,tin,majina matatu na namba yangu ya nida then ataniletea cheti cha veta mpaka leseni ambazo ni original kabisa ndani ya siku 8,nikaona sio mbaya sana.

Japo mwanzo nilisita nikiogopa ntapoteza pesa lakini nikasemaa liwalo naliwe.

Nachoshukiru jamaa alikuwa mwaminifu na issue ikawa solved.

Kuna kipindi tena nilianza biashara ya kuuzq ubuyu kutoka vijijini kupeleka kiwandani.

Hii nayo ilinibidi kupita shortcut maana tuliokuwa tunafanya hii issue tulikuwa wengi mno halafu kuna wakati bei inakuwa sio kafiki wakati mwingine bidhaa inakuwa nyizidi mahitaji

Ilibidi nimtafute afisa manunuzi tuongee

Tukakubaliana ubuyu atakuwa ananunua kwangu kwa bei fulani na mimi nitakuwa nampa 7% kwa kila gunia,
Kilichofanyika wale wauzaji wengine walikuwa wananiuziq mimi kwa bei ya kawaida halafu mimi ndio napeleka kuuza kiwandani huku yule afisa akila 7% zake

Hizo ni baadhi ya shortcuts chache ambazo nimewahi kupitia. Lengo la kushare nanyinyi ni kuonesha jinsi gani shortcut inalipa kwenye hizi nchi zetu hasa Tz hasahasq kwa sisi vijana tusiokuwa na connection na wakati huohuo unataka mambo yakuendee.

Sio lazima wakati wote upite njia iliyonyooka wakati mwingine unapita mkato ili mambo yakuendee, kuna kipindi cha nyuma nilikuwa nimenyooka sana ikafika hatua baadhi ya mambo yangu yalikuwa hayaendi kabisa, nikaona nibadili mtazamo ili kwendana na uhalisia wasasa.

Asanteni
Rushwa ni dhambi iliyowazi!
 
Back
Top Bottom