Kuna muda maisha yanachanganya sana kama utani siku mbili unakosa hata Mia mfukoni

Mapito ni kawaida kwenye maisha,watu tushawahi kumeza piriton ili ulale fofofo kukuche
Ahahahahah na ushawahi ku extend mda wa kulala ili uamke between mchana na asubuhi
 
Afu maskini ndiyo tunazaa mno watoto wakati wakikua wakakosa ajira hatuna hata pa kuwashikiza
Kuna jamaa kule anaelekezwa hii ishu yeye anakalia kubisha bisha tuu...
Anasema watoto hawawezi kuwa chanzo cha umasikini..
Sa angalia hapo what next kama watoto wengi then no care no education.. watakua wengi na wimbi la umaskini linaongezeka..
Tukisema hawaelewi kazi kushika nukuu za ajabu "" tumeletwa kuzaliana """
 
Tatizo mmelemaza akili kuwa lazima watu waajiriwe.
Fikiria nchi kama Nigeria wanajulikana duniani kwa ujanja kutokana na ushindani ulioletwa na wingi wa watu.
 
Kuna jamaa kule anaelekezwa hii ishu yeye anakalia kubisha bisha tuu...
Anasema watoto hawawezi kuwa chanzo cha umasikini..
Sa angalia hapo what next kama watoto wengi then no care no education.. watakua wengi na wimbi la umaskini linaongezeka..
Tukisema hawaelewi kazi kushika nukuu za ajabu "" tumeletwa kuzaliana """
Nukuu za kijinga izo.
Maisha saiv ni ya kibepari ni kuwa na watoto wachache utakao weza komaa nao.
 
Na ndo inavotakiwa.. unakuta mtu ana watoto wengi na anajua life yake ni ya pangu pakavu.
Ukimshauri anasema kila mtoto na ridhiki yake..
Huyo huyo kutwa kulalama kwa ndugu zake kutaka msaada.
Yote haya ya nini...
Unataka watoto wengi kwa kusema watakuja kukusaidia. If ujawawekea misingi mizuri what next ..
 
Back
Top Bottom