Kuna muda maisha yanachanganya sana kama utani siku mbili unakosa hata Mia mfukoni

Tusichanganye vitu viwili hapa.
1.Kuzaa
2. Kutokua na pesa.

Huna pesa wewe wala usikuchanganye na kutozaa.Kama huna hela na bado huna watoto then wewe ndio looser zaid hapa maana tofaut yake ni nini sasa? Ilibid wewe kama umeweka pemdimg ishu ya kuzaa tuli expect uwekeze nguvu katika kutafuta maisha ufanikiwe.

Mind you, kama mtu hana pesa na ana watoto bas jua tu huyo sio kwamba hana pesa, ila ana pesa zisizotosha mahitaji.

So nyie wawil hamlingani
Na weee ndo kama wale
 
Na weee ndo kama wale
NI kwel kabisaaa..Mimi hata sina pesa mkuu na nina watoto wa 4. Sina pesa za excess ..ninapambana nazo zile za kuunga unga ili watoto wale wasome wavae kwa ukawaida kabisaa. Na kuna wakat huwa naamka mkavu kabisaaa..
Mfano leo asbuh nimeamka na 40k tuu na mpaka saa 4 asubh imekata kesho naamkia town na buk 5 tuuuu... kwahiyo sina hela kama mleta mada anavyosema hana hata 100 but hii sioni kama ni kikwazo mimi kuwa na watoto.Haihusian kabisaa.

Probably watu huna hela kwakua huna the real perfect drive ya kukuhamasisha utafute pesa na hata ungezipata bado pa maana pa kuzipeleka HAUNA
 
Inabidi itolewe elimu kuzaa sana sio sifa woooi
Ni sifa ya kwa kiumbe yeyote aliyekamilika. Haihusian kabisa na mtu kuwanazo au kutokua na pesa.Kama unaishi unakula unakunywa na una akil timamu trust me huwez shindwa kumudu katoto kako kamoja. Halaf , kama mtu huna mtoto/watoto hizo pesa mnahangaikia za kazi gani ?? 😂😂.Nafikiri ilipaswa watu wa namna hii ndio wawe watumishi makanisani. Hata kuwahi kuamka asubh nyie ilitakiwa msiwe na presha laleni tuu 😅.

NB.
acheni kupotoshana, ZAENIIIII
 
Kuna jamaa kule anaelekezwa hii ishu yeye anakalia kubisha bisha tuu...
Anasema watoto hawawezi kuwa chanzo cha umasikini..
Sa angalia hapo what next kama watoto wengi then no care no education.. watakua wengi na wimbi la umaskini linaongezeka..
Tukisema hawaelewi kazi kushika nukuu za ajabu "" tumeletwa kuzaliana """
Unazaa watoto wengi unaweza bahatisha mmoja akakutoa kwenye umasikini
 
NI kwel kabisaaa..Mimi hata sina pesa mkuu na nina watoto wa 4. Sina pesa za excess ..ninapambana nazo zile za kuunga unga ili watoto wale wasome wavae kwa ukawaida kabisaa. Na kuna wakat huwa naamka mkavu kabisaaa..
Mfano leo asbuh nimeamka na 40k tuu na mpaka saa 4 asubh imekata kesho naamkia town na buk 5 tuuuu... kwahiyo sina hela kama mleta mada anavyosema hana hata 100 but hii sioni kama ni kikwazo mimi kuwa na watoto.Haihusian kabisaa.

Probably watu huna hela kwakua huna the real perfect drive ya kukuhamasisha utafute pesa na hata ungezipata bado pa maana pa kuzipeleka
Kama watoto unamudu mahitaji yao zaa hata mia, hamna shida, kama hujimudu zaa wachache
 
Ni sifa ya kwa kiumbe yeyote aliyekamilika. Haihusian kabisa na mtu kuwanazo au kutokua na pesa.Kama unaishi unakula unakunywa na una akil timamu trust me huwez shindwa kumudu katoto kako kamoja. Halaf , kama mtu huna mtoto/watoto hizo pesa mnahangaikia za kazi gani ?? 😂😂.Nafikiri ilipaswa watu wa namna hii ndio wawe watumishi makanisani. Hata kuwahi kuamka asubh nyie ilitakiwa msiwe na presha laleni tuu 😅.

NB.
acheni kupotoshana, ZAENIIIII
NAUNGA MKONO HOJA UNA HOJA KUBWA SANA
 
Shida sio kuzaa, shida ni kuzaa watoto wengi wakati huwezi kuwamudu 😀😀

Enewei naomba mbegu ya katoto kamoja 😊
 
Kama watoto unamudu mahitaji yao zaa hata mia, hamna shida, kama hujimudu zaa wachache
Umenena vyema.Kama hujimudu zaa wachache. Sio usizae eti huwez kumudu mutunza watoto, hiki nitakataa moaka nakufa. Ukiona huweza kuwa responsible japo kwa mtu mmoja hapa duniani na una afya timamu basi jua wewe hapa duniani huna faida yoyote na bora usingekuepo unajaza nafas bure tu
 
Shida sio kuzaa, shida ni kuzaa watoto wengi wakati huwezi kuwamudu 😀😀

Enewei naomba mbegu ya katoto kamoja 😊
yan jinsi ulivyo mpambanaji hivyo, we nakupa mbegu hata ya wawili mapacha
 
Hata mimi niko serious, maana unaelewa fika kuwa Mimi na wewe tushavuka kwenye mambo ya utani now we do serious stuffs[emoji16]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja nimalize weekend salama kwanza
 
Back
Top Bottom