Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Album ya Jay MoULIMWENGU NDO MAMA
Mtumie hata buku na 100 atoe kwa Wakala apate kiepe kikavuNashukulu mungu sijawahi pitia hari kama hi😔😔
Sema nini mwanangu ni pm namba yako
Tafuta hata ukonda kwenye malori japo utulize nafsi kwanza ukiwa unajitafutaAliyewahi pitia hii kadhia ananielewa bila shaka.
Usikuni mwema
Mtumie hata buku na 100 atoe kwa Wakala apate kiepe kikavu
Faraja ya mtu masikini siku zote ni kufanya mapenziAfu maskini ndiyo tunazaa mno watoto wakati wakikua wakakosa ajira hatuna hata pa kuwashikiza
Atafute magari yaliyozubaa aanze kuosha atalipwa 2000/- kila gari akiosha magari matano tayari ana 10,000/-Tafuta hata ukonda kwenye malori japo utulize nafsi kwanza ukiwa unajitafuta
Aisee😀Faraja ya mtu masikini siku zote ni kufanya mapenzi
Inashangaza sana cuteWanajipa moyo tajiri na mali zake maskini na wanae
Ndiyo hawa wanarudi kulialia mkuuTo yeye umeongea aisee
Maana uko mbele maisha ya watoto wetu yanategemea sisi wazazi .
Sisi ndiyo waafrika broKuna jamaa kule anaelekezwa hii ishu yeye anakalia kubisha bisha tuu...
Anasema watoto hawawezi kuwa chanzo cha umasikini..
Sa angalia hapo what next kama watoto wengi then no care no education.. watakua wengi na wimbi la umaskini linaongezeka..
Tukisema hawaelewi kazi kushika nukuu za ajabu "" tumeletwa kuzaliana """
Umeanza kua na akili za kiproffesorAfu maskini ndiyo tunazaa mno watoto wakati wakikua wakakosa ajira hatuna hata pa kuwashikiza
Balaa😝Umeanza kua na akili za kiproffesor
😅😅Au utakua umemiss Morning groly wewBalaa😝
Mbona nishacharazwa Boss😋😅😅Au utakua umemiss Morning groly wew
Nchi hii ina matatizo mengi, na dini ni tatizo pia. Viongozi wa dini wamejawa unafiki tu.Kuna jamaa kule anaelekezwa hii ishu yeye anakalia kubisha bisha tuu...
Anasema watoto hawawezi kuwa chanzo cha umasikini..
Sa angalia hapo what next kama watoto wengi then no care no education.. watakua wengi na wimbi la umaskini linaongezeka..
Tukisema hawaelewi kazi kushika nukuu za ajabu "" tumeletwa kuzaliana """
Tupambane tu mkuu! No way out. Wenye nacho wanaendelea kutupa mgongo tusio nacho.Mbona wiki iliyopita tu na hii hapa sikuwa najua kupika uji na sipendi uji ila mbona nimekoroga uji Safi kusindikiza siku iishe aloo njaa isikie tu[emoji1787][emoji1787]