Kuna muda mapenzi yanahitaji uwe na roho ngumu ili yaende sawa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wakati wa kwenda sio wa kurudi.
Wakati wa kurudi ushakua mjanja unatembea macho juu kama kuku kishingo
 
Kuna muda ukiwa mpole sana hata penzi halinogi kabisa, kuna raha za kutingisha kiberiti alafu mambo yanabak kama mwanzo, kuna jamaa yangu yeye kila mara n kuniomba ushauri juu ya mpenz wake hakosei yeye lakin kwa kuomba msamaha ad namuona kama zoba na huyo mwanamke anamtikisa kweli kweli, anachokuambia n tofauti kabsa na anachoenda kutenda, hana maamuz na msimamo kama mwanaume
 
Hahahahah huyo jamaa ako sijui ndio huyu best angu pia hahaha, kimwanamke kinampelekesha puta yani kawa zombie ananambia kuanzia leo yani sitamtafuta tena ananidharau nmekupigia wewe kama shahidi nami nazuga tu jamani usifanye hivo namjua ni zombie, siku mbili tena anapiga yani huyu mwanamke ana kiburi nampigia simu ananitext unanisumbua nachekea nje tu mapenzi buana....ila steji hii inahitaji kuokolewa
 
Dah kweli mwanangu wanaume tucwe na roho kama mademu dah no noma tukaze roho
 
Back
Top Bottom