Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

Waambie,'kweli hela ninayo ila majukumu ya lazima niliyonayo ni makubwa kuliko hela niliyopata'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee em sema kweli.
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Kabisa....
Sasa unaniachaje?🙂
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Mkuu hebu tueleweshe sisi wa huku Nantumbo
Sasa nikiweka hio airlane mode ndio naruka au....
 
Kikubwa hapo ni anzisha biashara ambayo ukipata tu hela nunua stocks nenda km ni field safari ukiwa na hela ya accommodation maana hela ina tabia ya kutaka iishe so hata km usipowatumia lazima tu itakata
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
UShajipata sasa unawakoga wana!, kumbuka kuna wana uliwasumbua enzi hizo kabla hujajipata kwa vizinga nq wakakubeba.
 
Back
Top Bottom