mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana.
Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi tone la mwisho ila wote hao walimkimbia na akajikuta yeye kama yeye mikononi mwa waasi.
Haya tukija kwa Saddam Hussein, yeye alikutwa peke yake kwenye shimo amejificha na hana mtu wa karibu tuseme mlinzi wake ambaye angesimama naye hadi mwisho kumtetea dah!
Okay tuachane na hiyo mifano turudi kwa hawa Marais wanaopinduliwa kila siku huko Shitiholini... Mfano mzuri huyu wa Madagascar analalamika Facebook kwamba maisha yake yako hatarini, kivipi, na alikuwa na kikosi maalum cha kumlinda? Si angewategemea tu hao ku neutralize mambo?
Mimi binafsi nilitarajia hata rais akiondolewa madarakani kivyovyote vile ,wale walinzi wake walipaswa kusimama naye hadi sekunde za mwisho na sio kumtenga boss wao pale yanapomfika ya kumfika... Ikibidi hata kumtetea kwa kuchukua bullets kwa niaba🤡🤡
Sasa kama huyu rais wa Romania hapa bwana Nicolae ceausescu na mkewe alikuwa na Walinzi binafsi lakini ilipaswa mvua hizi za risasi wangezichukua kwa niaba ...