Kuna muda nilijuaga adriz ni haszu anatuchezea akili

Kuna muda nilijuaga adriz ni haszu anatuchezea akili

Makubaliano yetu ni yale yale ukiulizwa ume date na watu wangapi majibu ni 3 tu

1. Alikuacha alivyoenda Chuo/ Dar
2. Ulimfumania alikuwa ana cheat na rafiki yako
3. Alishindwa kukuvumulia wakati unajitafuta
 
Kweli shule zimefungwa na Jf imeisha , yaani mtu mzima usiku unaacha kuwaza madili na mambo ya maana unaweza watu fake wa Jf ? na ukijua hilo itakusaidia nini ?

Wanya Visungura Gang mada zenu kuhusu watu tu mambo mengine ya hovyo wiki nzima yaani akitoka Stability anapokelewa na Financial Analyst alimaliza kazi unaingia wewe shift ya usiku .

Poor you dujeumsaeng pathetic Scumbabag Maarassmbus
 
Kweli shule zimefungwa na Jf imeisha , yaani mtu mzima usiku unaacha kuwaza madili na mambo ya maana unaweza watu fake wa Jf na ukijua itakusaidia nini ?

Wanya Visungura Gang mada zenu kuhusu watu tu mambo mengine ya hovyo wiki nzima yaani akitoka Stability anapokelewa na Financial Analyst alimaliza kazi unaingia wewe shift ya usiku .

Poor you dujeumsaeng pathetic Scumbabag Maarassmbus
Umetaja ID's tatu za mtu mmoja.
 
Mara utaskia de puss yani mambo ni mengi kweli 🤣
 
Back
Top Bottom