Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mpango wa shetaniMaisha yanasonga sana, kuna muda mambo mengi yanakupita na wewe inajikuta upo kwenye barabara yako ya pekee.
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, hapa ninazungumzia kuhusu mitazamo ya wazee wakale hasa hasa mababu zetu kuhusu Elimu na watoto wa kike au wanawake.
Kwa kipindi hicho wazee ambao sisi tunawaita 'wahenga' walikuwa wakiamini kwamba, wanawake hawafai kusoma shule kwani mwisho wa siku wangeishia kuolewa tu!
Fast-forward miaka ya sasa, wanawake wanapata haki ya kusoma ila kila ukiwaangalia jinsi wanavyofanya mambo yao na kuyaamua wakiegemea au kuifanya hiyo Elimu waliyoipata kama sababu ya maamuzi yao unakuja kugundua kwamba "wahenga" wa kipindi hicho cha zamani waliona mbali sana.
Na mtalia na kusaga menoDozi inashuka taratibu, ipo siku tutasujudu kabisa 😂😂
Wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya kusoma au kufanya kazi yoyote zaidi ya kuzaa na kunyonyesha watoto, sema hizi kampeni za kudai haki sawa kwa wanawake zimebeba ajenda nyingi za kishetani......yaani wanataka mambo yawe kinyume, badala ya mwanaume kutawala, kuongoza na kuamua mambo, mwanamke ndo apewe hayo mamlaka...