Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

ni mpango wa shetani
 
Wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya kusoma au kufanya kazi yoyote zaidi ya kuzaa na kunyonyesha watoto, sema hizi kampeni za kudai haki sawa kwa wanawake zimebeba ajenda nyingi za kishetani......yaani wanataka mambo yawe kinyume, badala ya mwanaume kutawala, kuongoza na kuamua mambo, mwanamke ndo apewe hayo mamlaka...​
 
Pamoja na changamoto ila wanawake wanamambo mengi zaidi ya kuolewa ambayo ni msaada kwa jamii. Kuna Dr wa kike ameshafanya upasuaji wa mafanikio mara nyingi tu. Huyu huwezi jutia kumpa elimu eti kwa sababu kaolewa.
 

Umeongea kama nani huko madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…