Usiombe Roho wa bwana akuingie yeye ndie mjenzi.Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌
Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi
Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
Sawa ndio sasa ndio tujambie mtungi wa gesi ujae kweli 🤣🤣🤣🙌Usiombe Roho wa bwana akuingie yeye ndie mjenzi.
Una mfahamu mtume Paulo huyu kabla Roho wa bwana hajamuingia aliitwa SAULI
SAULI ALIKUA ANAUA WA KRISTO NA ALIUA WENGI SANAAAAAA ILA SIKU ROHO MTAKATIFU AKASEMEZANA NAE KIKAZALIWA KIUMBE KIPYA.
SO UZI UFUNGWE USISHANGAE YULE ALIE ITWA MALAYA AKI IHUBIRII INJILI YA BWANA KULE GALILAYA
Ndo maana siachi kupiga kinandaWapiga vinanda tunaenjoyyy mnoo
View attachment 3437349
😁 Hapo tumepigwaaa na kitu kizito oOoOOSawa ndio sasa ndio tujambie mtungi wa gesi ujae kweli 🤣🤣🤣🙌
Wanyooshee ila usile kondoo wa bwanaaNamuunga mkono, ukipata watu wa kuwanyoosha wanyooshe kisawasawa kama alivyofanya kiboko wa wachawi 🔥
Kula kondoo wa Bwana ndo huko huko kuwanyoosha, wakiwa wajinga wagonge tuu 🔥Wanyooshee ila usile kondoo wa bwanaa
Kwenye hii dunia kila mtu anatafuta namna ya kuishi bro,yeye amechangua maisha hayo muache aendelee kuhubiri injili ya Yohana mbatizaji na wewe ishi maisha yako tu hakuna shidaAkihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌
Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi
Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣