Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🀣🀣🀣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🀣🀣🀣

1 Wakorintho 1:27-29

bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;

mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
 
Wewe umeona ni Swala la ajabu Hilo?
Hata Paul aliyekua Sauli alikua na wahuni wake kama wewe unavyomuona mwenzako. Mtu aliye mgonjwa hamuhitaji daktari. Neema ya Mungu ni kubwa Mnoo itoshayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…