Kuna mume wa mtu,nataka nimzalie lakini nahisi mbegu zake zina shida ni kama maji nifanye nini?

Wewe ni shetani
Tena Mungu atakuadhibuuu vibaya mnooo

Kama umeshindwa ndoa dai talaka unataka kumsingizia mtu mtoto? Na kumbe unagawa mechi nje

Afu mkija kufanyiwa matendo ya ukatili mnalalamika

Mnawafundisha Nini kizazi kijacho kuhusu ndoa
 
Acha ujinga basi🤣mwanamke wa pale chako ni chako Kila siku analo mbwa na 12 men useme ni binti
😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️Baki na dhambi zako
 
Inawezekana kuna ukweli maana jack line wolper, na aunt Ezekiel wamezaa kwenye 30's Sasa nakumbuka kuna miaka fulani waliwahi lalalamika uzazi wameupata kwa shida At their 30's
 
Weeeee kumbe
 
🥶Kwamba sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20250116_234830.jpg
    187 KB · Views: 4
Duuh,
Mpaka muda huu msimamo wa mtanange unasoma hivi:-

Kataa Ndoa - 5
Pro Ndoa - 0

Wanawake kama nyie ndo mnaponza wenzenu hadi wanaogopwa na wanaume.
Yaani mume wako wa ndoa hutaki kumzalia?
Unataka kuzalia mchepuko, tena mume wa mtu ambaye tayari ana watoto?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…