Kuna mume wa mtu,nataka nimzalie lakini nahisi mbegu zake zina shida ni kama maji nifanye nini?

Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.

Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.

Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.

Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Wewe ni shetani
Tena Mungu atakuadhibuuu vibaya mnooo

Kama umeshindwa ndoa dai talaka unataka kumsingizia mtu mtoto? Na kumbe unagawa mechi nje

Afu mkija kufanyiwa matendo ya ukatili mnalalamika

Mnawafundisha Nini kizazi kijacho kuhusu ndoa
 
Acha ujinga basi🤣mwanamke wa pale chako ni chako Kila siku analo mbwa na 12 men useme ni binti
😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️Baki na dhambi zako
 
Mimba ni ishu ya chemistry. Kama jamaa ana watoto basi shida itakua wew ena yeye hamuendani na vile una miaka 30 ushatoka kwenye prime time yako ya kunasa mimba ya mwanaume yoyote katika hali yoyote.

Binti wa miaka 18 hadi 25 ananasa mimba muda wowote kutoka kwa yoyote ila mwanamke wa muanzia miaka 30 kumpa mimba inahitaji chemistry na sayansi ya juu sana maana kuna mambo ya mood swings, hormones nk.

Huto mume wa mtu mpe tu mama.
Inawezekana kuna ukweli maana jack line wolper, na aunt Ezekiel wamezaa kwenye 30's Sasa nakumbuka kuna miaka fulani waliwahi lalalamika uzazi wameupata kwa shida At their 30's
 
Mimba ni ishu ya chemistry. Kama jamaa ana watoto basi shida itakua wew ena yeye hamuendani na vile una miaka 30 ushatoka kwenye prime time yako ya kunasa mimba ya mwanaume yoyote katika hali yoyote.

Binti wa miaka 18 hadi 25 ananasa mimba muda wowote kutoka kwa yoyote ila mwanamke wa muanzia miaka 30 kumpa mimba inahitaji chemistry na sayansi ya juu sana maana kuna mambo ya mood swings, hormones nk.

Huto mume wa mtu mpe tu mama.
Weeeee kumbe
 
🥶Kwamba sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20250116_234830.jpg
    Screenshot_20250116_234830.jpg
    187 KB · Views: 4
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.

Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.

Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.

Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Duuh,
Mpaka muda huu msimamo wa mtanange unasoma hivi:-

Kataa Ndoa - 5
Pro Ndoa - 0

Wanawake kama nyie ndo mnaponza wenzenu hadi wanaogopwa na wanaume.
Yaani mume wako wa ndoa hutaki kumzalia?
Unataka kuzalia mchepuko, tena mume wa mtu ambaye tayari ana watoto?!
 
Back
Top Bottom