Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu mji usipoeSababU Nimepiga kwenye mshono😂😂😂
Mwanamke yoyote ambae hajaolewa ni binti hatakama ni 40+🙂Hivi wadau bint mwisho miaka mingapi vile
Acha ujinga basi🤣mwanamke wa pale chako ni chako Kila siku analo mbwa na 12 men useme ni bintiMwanamke yoyote ambae hajaolewa ni binti hatakama ni 40+🙂
Mwanamke yoyote ambae hajaolewa ni binti hatakama ni 40+
Au sio 😂😂Muhimu mji usipoe
Wewe ni shetaniKaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Baki na dhambi zakoAcha ujinga basi🤣mwanamke wa pale chako ni chako Kila siku analo mbwa na 12 men useme ni binti
Inawezekana kuna ukweli maana jack line wolper, na aunt Ezekiel wamezaa kwenye 30's Sasa nakumbuka kuna miaka fulani waliwahi lalalamika uzazi wameupata kwa shida At their 30'sMimba ni ishu ya chemistry. Kama jamaa ana watoto basi shida itakua wew ena yeye hamuendani na vile una miaka 30 ushatoka kwenye prime time yako ya kunasa mimba ya mwanaume yoyote katika hali yoyote.
Binti wa miaka 18 hadi 25 ananasa mimba muda wowote kutoka kwa yoyote ila mwanamke wa muanzia miaka 30 kumpa mimba inahitaji chemistry na sayansi ya juu sana maana kuna mambo ya mood swings, hormones nk.
Huto mume wa mtu mpe tu mama.
tufanyaje mmeamua kuchangamsha mjiAu sio 😂😂
Iyo n kweltufanyaje mmeamua kuchangamsha mji
Weeeee kumbeMimba ni ishu ya chemistry. Kama jamaa ana watoto basi shida itakua wew ena yeye hamuendani na vile una miaka 30 ushatoka kwenye prime time yako ya kunasa mimba ya mwanaume yoyote katika hali yoyote.
Binti wa miaka 18 hadi 25 ananasa mimba muda wowote kutoka kwa yoyote ila mwanamke wa muanzia miaka 30 kumpa mimba inahitaji chemistry na sayansi ya juu sana maana kuna mambo ya mood swings, hormones nk.
Huto mume wa mtu mpe tu mama.
Kuna watu wapo kwenye ndoa ila wanafanya ndoa zionekane ni kituko japo stori yako ni chai ndugu yangu😊View attachment 3203972
Duuh,Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Ombea yasikukute haya ya hisia n mapenzi unaweza fanya zaidi ya haya ya huyo Dada huko alipo andika na maleta Mada kutuletsa pia humu