Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow guys,

Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo

Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa tangazo pale mbele mwenye milion moja anaetaka Mungu amtende Muhujiza kwa haraka wapite mbele niwa weke mikono nikaogopa nikamuuliza jirani yangu dah watu wana hela akasema wewe ngojea atafika mpka 5000 kweli.

Bada ya muda akasema mwenye 5000 mimi nikatoka zangu nikaenda nayo pale mbele mimi kidogo mbishi kwenye kufumba macho nikagoma kufumba nikawa na mtazama machoni tukagongana aka kwepesha yeye macho na hii huwa inatokeaga sana nikiwa na wasiwasi na mchungaji.

Nilikuwaga na matatizo yangu niliangaika sana kwa wachungaji lakini nikaja kupata msaada katika kanisa langu nililo batizwa Mtakatifu petrol na poul kupitia Ekarist takatifu nilijiona bwege sana kwanini nilikuwa naangaika kwenye makanisa mengine lakini yote haya ni mshawishi alikuwa ni women jamani.

Hapana
 
Sadaka ya kweli ni ile utayotoa Kwa uchungu nanii, Sasa sisi wengi tunatoa kilichotuzidi.

Kama msomaji wa bible angalia kaini na habili kitabu cha mwanzo
 
Shetani anaangalia ukubwa wa Sadaka ili akupe. Mungu uangalia Sadaka ya kujitoa kwako kwake. Kumbuka habari ya Yesu na mwanamke ekaluni, alietoa Sadaka ndogo ya ridhiki yake.
 
Hata hivyo umepigwa Tu haijalishi ulitoa buku 5 au milioni.
Anayetoa pesa nyingi na kidogo wote mnapigwa tu
 
Back
Top Bottom