Kuna mwamba anadai katapeliwa laki 2 na Chief Godlove. Chief Godlove ukiona hii badilika!

Kuna mwamba anadai katapeliwa laki 2 na Chief Godlove. Chief Godlove ukiona hii badilika!

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Sina haja ya salamu.

Kuna mwamba ameniambia katapeliwa 200,000Tsh na CHIEF GODLOVE. Swali kwenu, je huenda haka kajamaa ni katapeli?

Mwamba hakuishia hapo, aliendelea kwamba hakuna cha jicho la tatu ambayo CHIEF GODLOVE amekuwa akitumia kwa ajili ya kuteka akili za watu wenye akili ndogo.

GODLOVE kama taarifa ni za kweli tafadhali badilika.
 
Pole sana mkuu,

Hakuna mafanikio ya short cut,
Siku zote mtu hua anatapeliwa kutokana na tamaa zake za kutaka kufanikiwa kwa njia nyepesi na kwa haraka zaidi,
Ukiitwa kwenye fursa ujue kua wewe ndio fursa yenyewe,na ukipewa huduma bure ujue kua wewe ndio bidhaa.
 
😂

 
Watu Wanamchafua Kijana Tumwache Ale Maisha yake kila mtu Atakufa kivyakevyake. Hiyo laki 2 ni chai ya moto tunagonga na chapati kwa mama bonge
 
Akili za BAVICHA kila siku wanatapeliwa, mara Mange, mara capt Tesha mara michango ya chama mara kujua gari la lisu ni oja wa wajinga Tanzania

USSR
Vp hko kisarawe bado mnaendelea kuibiwa+watu kubakwa mkuu

Ova
 
Back
Top Bottom