Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Unakuta anapiga wale waliokimbia shule.Akili za BAVICHA kila siku wanatapeliwa, mara Mange, mara capt Tesha mara michango ya chama mara kujua gari la lisu ni oja wa wajinga Tanzania
USSR
JF kila mtu hua analeta matatizo au visa vya Rafiki yake.Kwahiyo RAFIKI ako katuma laki mbili ili awe tajiri 😃 s bora Angempa kanji
I’d fake ila bado tunaogopa kuchekwa 😅JF kila mtu hua analeta matatizo au visa vya Rafiki yake.
😀
Vp hko kisarawe bado mnaendelea kuibiwa+watu kubakwa mkuuAkili za BAVICHA kila siku wanatapeliwa, mara Mange, mara capt Tesha mara michango ya chama mara kujua gari la lisu ni oja wa wajinga Tanzania
USSR
Anaambia tuma 200,000 nkupe mbinu ya kuwa tajiriTAFUTA HELA MASIKINI WEWE
hii kauli nilikuwa nachekaga sana🤣🤣
Maana hawakomi acha wapigweBado mtapondwa sana hadi akili ziwachomoke.
😁😁I’d fake ila bado tunaogopa kuchekwa 😅
Kabisa waendelee kupigwa tu.Maana hawakomi acha wapigwe
Ova