Habari Wana Jf
Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya kumgonga but binafsi sikuwa willing kwasababu nina yajua mazingira yake ni demu ambaye anagawa ovyo sana bila kujali hata rika uwe mzee au laah ilihali tu uwe na pesa, Sasa huyo demu amechumbiwa na mwamba mmoja na anaishi kwa huyo mwamba baada ya kujua Hilo namsikitikia jamaa kwasababu huyo manzi anapenda maisha ya luxury,kicheche,mnywaji wa pombe Kali mno sijajua jamaa kashindwa kujua haya yote.
Mbaya zaidi anakuwaga anakaa mikoa miwili tofauti mkoa A ndio Wazazi na huyo mtu wake anaishi nae mkoa B anasema anaenda kwaajili ya biashara ndio ambapo mimi nipo sio biashara wala nini ndipo ambapo mabwana zake wapo ndio huko wapo wengi na ushenzi anapofanyia
NB: Mwamba nadhani kvutika na uzuri wa manzi bila kumjua kwa undani sijui kwanini sisi Wanaume hatufanyi research ya kutosha kabla ya kuoa na wale kampeni wakataa ndoa wanapata nguvu kuzidisha kampeni kama hali ni kama hivi