Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.Utanielewaje siku Moja baada ya Mkeo kukupiga na tukio kubwa.... Mimi kama Rafiki yako nikuambie....
Mkeo kabla hujamuoa nilimjua sana ndo tabia zake za kimalaya Mwanangu, anagawa mnooo yaan nilikua mpaka nakuonea huruma.
Utanitafasiri vp?.
Ujanja ni kuonyeshana Hatari !!
Nakutana na Demu mtaani kwako, Unajua kabisa Demu kaungua, au ni Malaya wa kujiuza usiku, nataka kuoa .
Hunistui, alafu unajiita Mwanangu ??? Serious?.
Sema Duniani hapa, hasa sisi waafrika, tuna Roho mbayaaa, Huwa tunapenda kuona wenzetu wanaharibikiwa hata kama tulikua na nafasi ya kuwasaidia !!.
Wewe unaweza kuona unamstua mtu, kumbe mtu kashajua tayari anakuona unamletea uduanzi.
Acheni ujinga wa kujifanya polisi wa mahusiano ya watu.
Wewe mtu hata humjui, unaanzaje kumwambia huyu mwanamke hakufai?