Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .

Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano , kweli tukàwa tumekubaliana, then nikaja kufahamu haya

1. Ni single mother mwenye mtoto wa kiume 2. Mstaarabu na anakichwa cha biashara .

Basi NAMI katikA mawasiliano ikawa nami nimempa sifa zangu kuwa 1. Ni baba wa watoto wa tatu na nawajibika kwao

2. Sina mke na sijawahi kuoa hata kufikiria kuoa kabla sijafika miaka 40

3.nimemaliza ujana sasa nataka niishi 4.

Sikuwahi mwambia Mimi mwalimu

5. Sikuwahi mwambia hali yangu ya kiuchumi ,ukizingatia Mimi nipo jombe yenye tunduma, so kumkuta tunduma ilikuwa ni ajali na ilitokea tu nikiwa nimetoka zangu mishe

Basi tukiwa tunawasiliana Kuna siku nilimwambia mimi ni mwalimu na kweli mwAlimu aisee ikawa ni end of communication yetu. Mara asipokee simu mara asingizie simu mbovu.

Nikaona isiwe tabu nami nikawa nimefuta mawasiliano yake, basi siku zimepita kimya hadi miezi michache iliyopita, katika papatu akawa yeye na dalali wake wanatafta gari watoe viazi mbeya vijijini viende hapo tunduma, na kwa kuwa nami nilikuwa na kafuso kangu mazingira Yale , basi dalali akawa amenifikia then tukawa tumekubaliana nikatoa mzigo kule cha ajabu nikaenda kushusha mzigo pale store kwake, aisee si tukakutana mimi nilimsalimia na kuomba wakamilishe nauli yangu,

Basi akawa amenipa nauli yangu, since then napata floods of call toka kwake, na Mimi moyo wangu kwake ulishaondoka , je nibebe TU huyu naona tayari ni money oriented TU au niendelee kutafta mke mwingine
 
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano , kweli tukàwa tumekubaliana, then nikaja kufahamu haya 1. Ni single mother mwenye mtoto wa kiume 2. Mstaarabu na anakichwa cha biashara . Basi NAMI katikA mawasiliano ikawa nami nimempa sifa zangu kuwa 1. Ni baba wa watoto wa tatu na nawajibika kwao 2. Sina mke na sijawahi kuoa hata kufikiria kuoa kabla sijafika miaka 40 3.nimemaliza ujana sasa nataka niishi 4. Sikuwahi mwambia Mimi mwalimu 5. Sikuwahi mwambia hali yangu ya kiuchumi ,ukizingatia Mimi nipo jombe yenye tunduma, so kumkuta tunduma ilikuwa ni ajali na ilitokea tu nikiwa nimetoka zangu mishe
Basi tukiwa tunawasiliana Kuna siku nilimwambia mimi ni mwalimu na kweli mwAlimu aisee ikawa ni end of communication yetu. Mara asipokee simu mara asingizie simu mbovu. Nikaona isiwe tabu nami nikawa nimefuta mawasiliano yake, basi siku zimepita kimya hadi miezi michache iliyopita, katika papatu akawa yeye na dalali wake wanatafta gari watoe viazi mbeya vijijini viende hapo tunduma, na kwa kuwa nami nilikuwa na kafuso kangu mazingira Yale , basi dalali akawa amenifikia then tukawa tumekubaliana nikatoa mzigo kule cha ajabu nikaenda kushusha mzigo pale store kwake, aisee si tukakutana mimi nilimsalimia na kuomba wakamilishe nauli yangu, basi akawa amenipa nauli yangu, since then napata floods of call toka kwake, na Mimi moyo wangu kwake ulishaondoka , je nibebe TU huyu naona tayari ni money oriented TU au niendelee kutafta mke mwingine
Tatizo siyo ualimu au kipato.Kuna kitu amekuficha.
 
Endelea kutafuta alishakudharau mwanzo, baada ya kujua kumechangamka ndio nae anajichangamsha. Akautulie uko. Endelea na utafutaji wa mtu sahihi, tumia mbinu hiyo hiyo wasijue source za kipato mpaka upate mkweli
 
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .

Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano , kweli tukàwa tumekubaliana, then nikaja kufahamu haya

1. Ni single mother mwenye mtoto wa kiume 2. Mstaarabu na anakichwa cha biashara .

Basi NAMI katikA mawasiliano ikawa nami nimempa sifa zangu kuwa 1. Ni baba wa watoto wa tatu na nawajibika kwao

2. Sina mke na sijawahi kuoa hata kufikiria kuoa kabla sijafika miaka 40

3.nimemaliza ujana sasa nataka niishi 4.

Sikuwahi mwambia Mimi mwalimu

5. Sikuwahi mwambia hali yangu ya kiuchumi ,ukizingatia Mimi nipo jombe yenye tunduma, so kumkuta tunduma ilikuwa ni ajali na ilitokea tu nikiwa nimetoka zangu mishe

Basi tukiwa tunawasiliana Kuna siku nilimwambia mimi ni mwalimu na kweli mwAlimu aisee ikawa ni end of communication yetu. Mara asipokee simu mara asingizie simu mbovu.

Nikaona isiwe tabu nami nikawa nimefuta mawasiliano yake, basi siku zimepita kimya hadi miezi michache iliyopita, katika papatu akawa yeye na dalali wake wanatafta gari watoe viazi mbeya vijijini viende hapo tunduma, na kwa kuwa nami nilikuwa na kafuso kangu mazingira Yale , basi dalali akawa amenifikia then tukawa tumekubaliana nikatoa mzigo kule cha ajabu nikaenda kushusha mzigo pale store kwake, aisee si tukakutana mimi nilimsalimia na kuomba wakamilishe nauli yangu,

Basi akawa amenipa nauli yangu, since then napata floods of call toka kwake, na Mimi moyo wangu kwake ulishaondoka , je nibebe TU huyu naona tayari ni money oriented TU au niendelee kutafta mke mwingine
Mkuu,badala ya kumshukuru Mungu amekuepusha na hilo JANGA wewe unapata hata muda wa kumfikiria?.

Kwenye kutafuta Mwenzi wa maisha huwa sishauri mtu azitumainie akili zake mwenyewe ,kwa sababu,dunia ya sasa watu wema wanazidi kuadimika. Ni Mungu pekee ndiye mwenye X-ray machine ya kuumulika moyo wa mtu.

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
Kwa hiyo,awe makini wasipite kishada na fuso/roho yake?
 
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .

Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano , kweli tukàwa tumekubaliana, then nikaja kufahamu haya

1. Ni single mother mwenye mtoto wa kiume 2. Mstaarabu na anakichwa cha biashara .

Basi NAMI katikA mawasiliano ikawa nami nimempa sifa zangu kuwa 1. Ni baba wa watoto wa tatu na nawajibika kwao

2. Sina mke na sijawahi kuoa hata kufikiria kuoa kabla sijafika miaka 40

3.nimemaliza ujana sasa nataka niishi 4.

Sikuwahi mwambia Mimi mwalimu

5. Sikuwahi mwambia hali yangu ya kiuchumi ,ukizingatia Mimi nipo jombe yenye tunduma, so kumkuta tunduma ilikuwa ni ajali na ilitokea tu nikiwa nimetoka zangu mishe

Basi tukiwa tunawasiliana Kuna siku nilimwambia mimi ni mwalimu na kweli mwAlimu aisee ikawa ni end of communication yetu. Mara asipokee simu mara asingizie simu mbovu.

Nikaona isiwe tabu nami nikawa nimefuta mawasiliano yake, basi siku zimepita kimya hadi miezi michache iliyopita, katika papatu akawa yeye na dalali wake wanatafta gari watoe viazi mbeya vijijini viende hapo tunduma, na kwa kuwa nami nilikuwa na kafuso kangu mazingira Yale , basi dalali akawa amenifikia then tukawa tumekubaliana nikatoa mzigo kule cha ajabu nikaenda kushusha mzigo pale store kwake, aisee si tukakutana mimi nilimsalimia na kuomba wakamilishe nauli yangu,

Basi akawa amenipa nauli yangu, since then napata floods of call toka kwake, na Mimi moyo wangu kwake ulishaondoka , je nibebe TU huyu naona tayari ni money oriented TU au niendelee kutafta mke mwingine
endelea kutafuta mke mwema masilahi yanakikomo
 
Wewe ungekua mwanamke, ungemkubali mwalimu?
 
Back
Top Bottom