Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

Unataka kufa vibaya sana
Komaza shingo uingie!
(Tatizo la kukosea kuandika linakuwa kwa Kasi sana nchini)
 
Mwanamke huyo hana kosa! Hakuna mtu anayetaka shida kwa sasa! Love is sweet, but when money enter love is sweeter!
 
Anakupigia ili akutumie kibiashara sio kama anakupenda au anakushobokea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni tabia potovu ya kudharau kipato cha mwalimu. Waalimu wakicheza vizuri na mikopo wanatoboa.
 
Money Oriented, Hiyo Liability Achana Nayo Iuche Mbatata Zake
 
Acha huyo anataka vimali hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…