Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Natumai wote mko salama.
Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.
Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.
She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.
Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.
Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.
Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.