Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

Mkuu iyo iko sealed. Oa kabisa. Utakaa nayo maishani kabisa. Utapiga picha kadi unitimie inbox nije kushuhudia sjajua ma vampire ndoa zao zikoje
Kweli mkuu aliwahi nambia ako sealed
 
Kuna uwezekano huyo mwanamke anakupenda sana ila atakuwa anamapungufu fulani anaogopa kukuambia anajua labda ukijua utapotea mazima hutataka hata kuonana naye

Nenda naye taratibu utamjua tu
Asante mkuu
 
Natumai wote mko salama.

Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.

Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.

She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.

Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.

Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.

Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.

Mkatae mazima
 
Tatizo ni wewe sio yeye, na wa kulitatua ni wewe sio yeye.

Kwanza
Umepapatika kwake na yeye akajua umeoapatika. Umekuwa kichwa yeye shingo. Atakugeuza atakavyo.

Pili
Unapatikana kwa urahisi mno. Kila mara simu wapiga, sms ndio usiseme, outing au mitoko sana. Make yourself scarce to maximize your demand.

Tatu.
Huna malengo. Ungekuwa na malengo ungeshalimaliza hili swala. Maana ya malengo ni kujua nini unataka na kwa muda gani. Ukishindwa kufikia malengo unaacha na hicho kitu.

Acha uzembe wa akili.
Ukweli thanks bro
 
Natumai wote mko salama.

Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.

Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.

She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.

Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.

Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.

Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.

Nipe namba zake nimseme. Asikunyanyase huyo
 
Ukisha gonga hayo mapenzi huwezi kuwa nayo.

Ni kama vile unavyomwona Poshqeen alivyo na ule msambwanda, lakini kuna jamaa kadhalisha afu kala kona.
Ila mkuu kwasasa nampenda sijui itakuaje baada ya papuchi
 
Natumai wote mko salama.

Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.

Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.

She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.

Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.

Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.

Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.

Kama wewe ni mvuvi kweli badilisha aina ya chambo kwenye ndoano. Samaki hupenda kula vitu anavyovipenda ndio hunasa kwenye ndoano
 
Back
Top Bottom