Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
- Thread starter
-
- #21
Kweli mkuu aliwahi nambia ako sealedMkuu iyo iko sealed. Oa kabisa. Utakaa nayo maishani kabisa. Utapiga picha kadi unitimie inbox nije kushuhudia sjajua ma vampire ndoa zao zikoje
Nilitaka kuwa nae serious mkuuMshikaji unaachanaje na pisi zako zote Kwa kuweka malengo sehemu ambayo bado hujaona mafanikio? Ila we endelea tu kukomaa atakuelewa taratibu tu
Mkuu aka katoto kakunichelewesha kulala kweli nawaza tuMwambie wenzako wananiachiaga tu vitundu vyao nivichezee ninavyotaka halafu wewe tundu lako unaringa nalo
Hahahaha yaweza kuwa kweli mkuuTatizo lipo kwako. Kifupi huna mbinu. Unamtongozaje mwanamke ambae tayari upo nae? We jamaa bana [emoji37][emoji51]
hahaha sawa mkuuUnapata wapi ujasiri wa kusema unampenda mwanamke na wakati hajawahi kula hata sh elf tano yako? MAN UP. Tuma tuma miamala umchangie Mwigulu kodi, mwanamke akuone uko serious naye!
Asante mkuuKuna uwezekano huyo mwanamke anakupenda sana ila atakuwa anamapungufu fulani anaogopa kukuambia anajua labda ukijua utapotea mazima hutataka hata kuonana naye
Nenda naye taratibu utamjua tu
Mkatae mazimaNatumai wote mko salama.
Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.
Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.
She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.
Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.
Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.
Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.
Ukweli thanks broTatizo ni wewe sio yeye, na wa kulitatua ni wewe sio yeye.
Kwanza
Umepapatika kwake na yeye akajua umeoapatika. Umekuwa kichwa yeye shingo. Atakugeuza atakavyo.
Pili
Unapatikana kwa urahisi mno. Kila mara simu wapiga, sms ndio usiseme, outing au mitoko sana. Make yourself scarce to maximize your demand.
Tatu.
Huna malengo. Ungekuwa na malengo ungeshalimaliza hili swala. Maana ya malengo ni kujua nini unataka na kwa muda gani. Ukishindwa kufikia malengo unaacha na hicho kitu.
Acha uzembe wa akili.
Sintampoteza kabisa mkuuHebu u mblock kwanza kwenye mawasiliano ya simu, halafu tuone
Sawa mkuuPitia kule kwa Rikiboy
Nishauri tu mkuu mtoto ako poa sanaNatamani kukushauli lkn nitakuwa nimechochea ww kufanya ngono, nakushuli achane nae.
kweli mkuuHawa viumbe hawaeleweki kama papuchi zako.
ThanksMtafutie angle alpha
Hahaha poa mkuuMwambie "ndio umeniudhi, hutaki tuunganishe vikojoleo"
Mkuu naumia tuEndelea kumuonyesha kuwa kweli unamtaka. Si lazima umtongoze ndio uwe nae.
Hana mkuuAnaogopa kukupa ngoma
Nipe namba zake nimseme. Asikunyanyase huyoNatumai wote mko salama.
Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.
Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.
She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.
Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.
Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.
Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.
Ila mkuu kwasasa nampenda sijui itakuaje baada ya papuchiUkisha gonga hayo mapenzi huwezi kuwa nayo.
Ni kama vile unavyomwona Poshqeen alivyo na ule msambwanda, lakini kuna jamaa kadhalisha afu kala kona.
Kama wewe ni mvuvi kweli badilisha aina ya chambo kwenye ndoano. Samaki hupenda kula vitu anavyovipenda ndio hunasa kwenye ndoanoNatumai wote mko salama.
Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu.
Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu, nakujikuta napenda tu awe karibu na mimi kila wakati.
She is very smart kwakweli nimejikuta nampenda sana siwezi kumwacha aende na sijamfanya chochote mpaka sasa.
Key point ni kwamba kila nikijaribu kumtongoza anaruka, sasa nikaamua kujikaza niachane nae tu coz naumia, ila nikiacha kuwasiliana nae analalamika mpaka kulia na kuniuliza kama kaniudhi kwa lolote.
Na anapenda sana tuonane mara kwa mara ila ukimtongoza haeleweki anaruka. Wakuu nisaidieni nataka nimsahau kabisa nimpotezee coz nampenda ila simwelewi, wakuu nilikuwaga najishangaa nimekaa na pisi kadhaa ila sijawahi mpenda yeyote kati yao ila huyu ndo basi tena.
Nimeachana na pisi zangu zote kwaajili yake nimepoteza mda mwingi sana nikijua atakaa sawa.
Na ukiona hataki kukupa papuchi, na pengine anataka mpaka baada ya ndoa, basi ujue ina dosari.Ila mkuu kwasasa nampenda sijui itakuaje baada ya papuchi