Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

Kama kweli ni 'smart' kama ulivyoeleza,haiwezi kuwa rahisi kumpata kama ulivyowapata wengine na hasa kama amejua unatumia nguvu kubwa kumshawishi.Hii yaweza kuwa sababu anasita kukukubalia japo anapenda kampani yako na labda anakupenda pia.
 
achana naye kuna Moto siku hizi
 
Endea Kumfanya rafiki wa karibu,Mjali kama msichana wako japo bado haijakuwa hivyo,ipo siku ataku propose yeye mwenyewe
 
Kama kweli ni 'smart' kama ulivyoeleza,haiwezi kuwa rahisi kumpata kama ulivyowapata wengine na hasa kama amejua unatumia nguvu kubwa kumshawishi.Hii yaweza kuwa sababu anasita kukukubalia japo anapenda kampani yako na labda anakupenda pia.
Yani mkuu hataki kabisa nikae mbali nae
 
Endea Kumfanya rafiki wa karibu,Mjali kama msichana wako japo bado haijakuwa hivyo,ipo siku ataku propose yeye mwenyewe
Mkuu mwisho wa siku nisijekuwa napromote product ya mtu mwingine naona bora nimwache tu nijue sina kabisa
 
Dont be a Simp, umewekwa kwenye friend zone na mageti yamefungwa no way out husikute kwenye diary na simu yake amekuandika na kukusave BFF.
Ushauri:Muombe mbususu akigoma achana naye haraka sana futa na namba yake.
 
mkuu nashindwa hata kula nikikumbuka naenda kuachana nae
 
Kwa haraka harakaa naona kichwa chako umekigeuza kuwa mfuniko wa shingo
 
Hadi hapo huyo mwanamke hana shida kabisa, na kishaeleweka ila shida ni weweee tena wewe ni shida sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…