Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

π™·πšžπš’πš˜ πšŠπš—πšŠπš£πšžπšπšŠ 𝚝𝚞.
 
Tatizo ni kwamba umempa Heshima kubwa sana kutokana na smartness yake bila ya kukumbuka wahenga walisema "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu"πŸ€” let ur action speak show that you love her na show her pia kwamba unataka show, only when necessary ndo uongee utamjengea fikra kwamba wewe si muongeaji kama ni wako atajihadhar asiskie neno tuachane na urafiki maana anajua ukiongea unamaanisha means akiskia tuachane unaacha na urudii kama si wako ataondka na akiondoka piga chini coz smart, beautiful and rich women there are thousands of them usijitese kumbuka #YOLO so u better stay stress free

#trey
 
Thanks alot bro
 
Huyo ameshaingia tayari kilichobaki ni kukaa kitini tu

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…